- AFRIPRISE745-10(-1.32%)
- CRDB2,950-20(-0.67%)
- DCB400-10(-2.44%)
- DSE6,350-270(-4.08%)
- EABL5,86020(0.34%)
- JATU2700(0.00%)
- JHL8,7000(0.00%)
- KA1150(0.00%)
- KCB2,190-10(-0.45%)
- MBP1,990-50(-2.45%)
- MCB370-5(-1.33%)
- MKCB3,680-80(-2.13%)
- MUCOBA45040(9.76%)
- NICO3,770160(4.43%)
- NMB2,0400(0.00%)
- NMG3155(1.61%)
- PAL30510(3.39%)
- SWALA4500(0.00%)
- SWIS2,5000(0.00%)
- TBL9,780-10(-0.10%)
- TCC13,3500(0.00%)
- TCCL3,95010(0.25%)
- TOL1,730-30(-1.70%)
- TPCC5,670-10(-0.18%)
- TTP4300(0.00%)
- USL300(0.00%)
- VODA1,2600(0.00%)
- YETU5100(0.00%)
- IEACLC-ETF1,46010(0.69%)
- VERTEX-ETF3250(0.00%)
Ugawaji wa Gawio
Gawio la fedha ni nini?
Gawio ni zawadi inayolipwa kwa wanahisa wa kampuni kwa uwekezaji wao. Kampuni zinaweza kuamua kugawa gawio kutoka kwenye faida kwa wanahisa wanaostahili, au kubakiza faida ili kuiwekeza tena katika shughuli za baadaye za kampuni.
Maamuzi ya kulipa gawio na kiasi cha kugawa hufanywa na Bodi ya Wakurugenzi ya kampuni. Gawio linaweza kuwa kwa njia ya hisa, fedha taslimu au mchanganyiko, na hulipwa kwa ratiba maalum.