- AFRIPRISE745-10(-1.32%)
- CRDB2,950-20(-0.67%)
- DCB400-10(-2.44%)
- DSE6,350-270(-4.08%)
- EABL5,86020(0.34%)
- JATU2700(0.00%)
- JHL8,7000(0.00%)
- KA1150(0.00%)
- KCB2,190-10(-0.45%)
- MBP1,990-50(-2.45%)
- MCB370-5(-1.33%)
- MKCB3,680-80(-2.13%)
- MUCOBA45040(9.76%)
- NICO3,770160(4.43%)
- NMB2,0400(0.00%)
- NMG3155(1.61%)
- PAL30510(3.39%)
- SWALA4500(0.00%)
- SWIS2,5000(0.00%)
- TBL9,780-10(-0.10%)
- TCC13,3500(0.00%)
- TCCL3,95010(0.25%)
- TOL1,730-30(-1.70%)
- TPCC5,670-10(-0.18%)
- TTP4300(0.00%)
- USL300(0.00%)
- VODA1,2600(0.00%)
- YETU5100(0.00%)
- IEACLC-ETF1,46010(0.69%)
- VERTEX-ETF3250(0.00%)
Jinsi ya Kuwa Mwekezaji
Kuwa mwekezaji katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE)
Ili kuwa mwekezaji DSE, lazima upate namba ya mwekezaji, ambayo ni namba ya utambulisho inayotolewa na DSE. Kupitia namba hii, miamala yote Sokoni inaweza kufanyika, ikiwemo kununua, kuuza na kuhamisha dhamana.
Wawekezaji wanaweza kuomba namba ya mwekezaji kupitia mojawapo ya njia zifuatazo:
Programu ya DSE Mobile kwa wenye kitambulisho cha taifa na wawekezaji wa kigeni
Kampuni za Udalali zenye Leseni
Ofisi za huduma kwa wateja katika matawi yote ya Soko la Hisa la Dar es Salaam
Tovuti ya huduma za serikali mtandaoni kwa kutumia kitambulisho chako cha taifa.
e-Services
Masharti kwa waombaji
- Mwombaji au mwakilishi wake wa kisheria lazima awepo ana kwa ana wakati wa kuwasilisha ombi la namba ya mwekezaji au kutumia programu.
- Umri wa mwombaji lazima uwe zaidi ya miaka 18.
Nyaraka zinazohitajika kupata namba ya mwekezaji
- Kitambulisho halisi cha taifa (kwa raia na wakazi).
- Pasipoti na kitambulisho kwa wageni wasio wakazi.
- Barua ya akaunti ya benki, ikiwa akaunti ni ya mwombaji peke yake na si ya pamoja.
- Nakala ya leseni halali ya biashara (halisi kwa ukaguzi).
- Nyaraka za usajili wa kampuni.
- Orodha ya wajumbe wa bodi kwa kipindi kilichokaguliwa.
- Barua yenye orodha ya watia sahihi walioidhinishwa.
- Barua ya akaunti ya benki.
- Barua ya idhini kutoka kwa mdhibiti kuanza shughuli za mfuko.
- Nakala ya leseni ya biashara ya mtoaji wa mfuko (halisi kwa ukaguzi).
- Majina na sahihi za watu walioidhinishwa pamoja na mamlaka yao.
- Waraka wa matarajio wa mfuko.
- Barua ya akaunti ya benki.
- Nakala ya leseni ya kanda huru (halisi kwa ukaguzi).
- Orodha ya wajumbe wa bodi kwa kipindi kilichokaguliwa.
- Barua yenye orodha ya watia sahihi walioidhinishwa.
- Barua ya akaunti ya benki.
Nyaraka zilizotolewa nje ya nchi lazima zithibitishwe na:
- Ubalozi wa nchi ambayo nyaraka ilitolewa.
- Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi iliyotoa nyaraka.
- Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hii.